Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

LIVERPOOL: WAZEE WA THE KOP WAONYESHA NYUZI ZAO MPYA KABISA


Liverpool FC wamezindua jezi zao rasmi mbele ya mashabiki wengi sana...Wachezaji waliojitokeza huku wamevaa jezi hizo mpya kabisa ni Jordan Henderson, Philippe Coutinho, Simon Mignolet na Jon Flanagan...



Legends wawili wa Liverpool, Robbie Fowler na Jason McAteer nao walikuwepo kwenye uzinduzi...



Nyuzi mpya hazijabadilika sana ukufananisha na za msimu huu kilichibadilika ni collar ambayo inavifungo na msati wa gold unaopita kwenye collar...



Jezi hizo ziko tayari kununuliwa na mashabiki wote...Bofya hapa upate habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar